SHEIKH WA MKOA WA DAR ATUMBULIWA
Na Mwandishi wetu HPMedia, Dar es Salaam
Baraza la ulamaa katika kikao chake kilichofanyika tarehe 1 na 2 mwezi huu jijini Dar es Salaam, chini ya Mwenyekiti wake Mufti na sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber limetengua uteuzi wa sheikh Alhad Mussa salum kama sheikh wa mkoa wa Dar es salaam kuanzia tarehe 2,2023.


Comments
Post a Comment