MFANYABIASHARA DAUD IKWABE ALITAKA JIMBO LA KIVULE.

 


Na Mwandishi Wetu.

Kada wa CCM Daud Ikwabe amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kivule. 

Ikwabe amerudisha fomu hiyo leo Julai 1,2025  kwa katibu CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.

Amesema ameamua kugombea nafasi hiyo ili kumsaidia Rais Dkt. Samai Suluhu Hassan kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule. 

Aidha amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo atahakikisha anatatua changamoto za muda mrefu ikiwemo miundombinu ya Barabara.

Comments

Popular posts from this blog

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

WANANCHI WAHIMIZWA KUTEMBELEA MAONESHO YA MUHARRAM EXPO 2025