MSAMA ARUDISHA FOMU


Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama leo Julai 1,2025 amerudisha fomu ya kuomba ya ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi CCM  kumpitisha aweze kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga 

Awali, Msama alichukua fomu hiyo Juni 29, 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala ambapo alikabidhiwa Fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi.

Comments

Popular posts from this blog

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

WANANCHI WAHIMIZWA KUTEMBELEA MAONESHO YA MUHARRAM EXPO 2025