NCHAMA ACHUKUA FOMU KUTIA NIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIVULE.

 



Kada wa CCM Chacha Wambura Nchama amechukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kivule. 

Nchama amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025  kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi. 

Aidha amesema kwamba ametia nia kugombea nafasi hiyo kwa lengo la kumsaidia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuondoa changamoto zinazokabili Jimbo la Kivule.

Comments

Popular posts from this blog

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

WANANCHI WAHIMIZWA KUTEMBELEA MAONESHO YA MUHARRAM EXPO 2025